Pages

Subscribe:

Sunday, October 30, 2016

JUA CALI: GENGE BADO IPO JUU

juacaligenge-20161029-0001
Msanii jua cali kaelezea kuhusu kundi la genge na ukimya wake wa muda kunako gemu na kudai kuwa Genge bado ipo na haitokaa kushuka, Msanii wa kenya Jua cali ameeleza kuwa ukimya wake ulikua wamaandalizi ya album kwa hiyo kwa sasa tutegemee mengi kutoka kwake huku akibainisha yeye ajashuka kimuziki. 

Jua Cali anasema bado yuko juu na kwakua yuko juu basi na genge Bado iko juu, Japo kunawengine wametawanyika ila bado yupo na mambo...
yanaendelea poa kabisa. Albam yake ya ‘mali ya uma’ imejawa na mambo mengi ya ziada, Jua kali amesisitiza watu kuhakikisha hawaikosi albam hii.

0 comments:

Post a Comment