Pages

Subscribe:

Thursday, October 20, 2016

BAADA YA KUACHIA WIMBO MPYA SASA EMINEM AHAIDI ALBUM MPYA

Eminem amewapa mashabiki wake zawadi ya Birthday.
Siku mbili baada us kufikisha miaka 44,  Eminem ameachia wimbo mpya “Campaign Speech” 

Pia Eminem kupitia Twitter yake ameandika kuwa anaandaa album mpya huku akiwatuliza mashabiki na wimbo huo mpya wa dakika nane.  “Don’t worry I’m working on an album! Here’s something meanwhile.” Ameandika.

Play Here 

0 comments:

Post a Comment