Pages

Subscribe:

Monday, October 31, 2016

HAMISA MABETO: SIJAWAHI KUWA NA URAFIKI WALA UADUI NA ZARI


Hamisa Mobeto, amekanusha tetesi zinazoenea mitandaoni kuwa ana uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamuziki Diamond Platnumz. 

Kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm juzi Jumamosi, Hamisa amedai kuwa anamfahamu mpenzi wa Msanii huyo Zari kwa kuwa ni Mzazi mwenza wa Platnumz,
“Unajua huwezi kusema mi na Zari tuko sawa au hatupo sawa kwa sababu...
hatujawahi kuwa marafiki na mi nimemjua kwa sababu ‘Kazaa’ na Bosi wangu (Diamond Platnumz).

The Only thing nimewahi kumuona Zari kwenye 40 ya Tiffah, We are not Friends We are not enemies, Diamond ni Bosi wangu aliwahi niajiri mimi kuandaa Birthday ya Mama yake.” Alisema.

Katika Hatua nyingine Hamisa alilazimika
kufunguka kwa Undani ukaribu wake na Familia ya Diamond akiwemo Mama yake kuliko hata Mama Tee, Zari The Bosslady.


“Unajua mpaka Mwanamke kuingia kwenye Nyumba ya Mwanamke mwingine, it means Babu na Bibi wameruhusu, mimi siwezi kujua wameongea nini kitu gani, ninacho jua nilipewa kazi na nikadeliver”alimalizia Hamisa Mobeto.

0 comments:

Post a Comment