Pages

Subscribe:

Wednesday, October 26, 2016

BAADA YA TAMBO ZA DIAMOND ALIKIBA NAYE AAMUWA KUWEKA MJENGO WAKE HADHARANI


Kitu kikubwa ambacho kilikuwa kinatrend siku ya jana katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na nyumba mpya za mastaa wetu wa muziki ambao wana upinzani usio wa pole pole katika suala zima la biashara ya muziki Diamond Platnumz na Alikiba.










Ni baada ya msanii Diamond Platnumz kupost nyumba yake iliyopo nchini South Africa na kutoa maneno flani hivi ambayo yalitafsiriwa kama vijembe kwa watu fulani.
Ndipo walipoibuka Team kiba na kuamua kuuanika...
mjengo mpya wa msanii Alikiba ambao upo pande za Tabata jijini Dar es Salaam na kusemekana kuwa mjengo huo una thamani zaidi ya ule wa Diamond ambao uko Afrika ya Kusini.

Inasemekana jiko tu lililopo katika nyumba hiyo limegharimu zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 30.
Sitaki kukuchosha, acha nikupe nafasi ya kuutazama mwenyewe mjengo huo hapa chini kisha uniachie maoni yako hapa kwenye uwanja wa comments kuwa ni mjengo gani mkali kati ya wa Diamond Platnumz na huu wa Alikiba.


 

0 comments:

Post a Comment