Pages

Subscribe:

Wednesday, October 19, 2016

ALAWI JUNIOR: NYUMBA ANAYOONESHA BARAKA DA PRINCE NI YA MAMA YAKE NAJ

Hivi karibuni, Baraka the Prince alionesha mjengo wa kisasa aliodai ni wake ukiwa kwenye hatua za mwisho huku akuwaacha watu na maswali. Maswali ya uwezo wa Barakah kuweza kujenga nyumba hiyo ndani ya muda mfupi, Alawi Junior anaweza akawa amejibu... maswali hayo.
Shemeji yake Naj, Alawi msanii wa Bongo Fleva ambaye amemuoa na kuzaa na Lady Naa (Dada yake Naj)  amepost mjengo huo huo na kuandika : DoneHongera sana Mama mkwe #zaharaDattan nyumba yako kali sana.”

Hivi karibuni Baraka alimsifia mpenzi wake Naj kwa kumsaidia hadi kujenga mjengo huo aliodai umegharimu pesa ndefu hadi sasa.

0 comments:

Post a Comment