Pages

Subscribe:

Monday, October 31, 2016

WIZKID ASITISHA MKATABA WAKE WA KUWA BALOZI NA GLO

Wizkid ameweka wazi kuachana na ubalozi na kampuni ya simu ya Nigeria ya Glo.
Tarahe 28 Oktoba, Wizkid aliweka wazi kuhusu kuachana na kampuni hiyo ya simu.

Kwenye account yake ya twitter wiz ameandika:
Officially no longer with GLO, it was nice working with the amazing people at the company, wish the company...
the best in the future. Love 

Hata hivyo mashabiki wamedai kuwa mtandao huo ndio umekatisha mkataba na muimbaji huyo wa ‘Baba Nla’

0 comments:

Post a Comment