Pages

Subscribe:

Friday, October 28, 2016

HII NDIYO KAULI YA SHILOLE BAADA YA LINAH KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE


Ni katika mtandao wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata mshipa wa aibu kwa muda na kuamua kuposti picha inayomuonyesha akila busu kali kutoka kwa mpenzi wake mpya, Shilole hakutaka kusubiri hata dakika ipite baada tu ya kukutana na picha hiyo, na kuamua kuacha ujumbe mzito kwenye...
uwanja wa comments kuhusu penzi hilo jipya la mwanadada Linah.

PhotoGrid_1477656141253 

0 comments:

Post a Comment