Pages

Subscribe:

Wednesday, October 26, 2016

DIAMOND ATUPA MADONGO KWA WASWAHILI WALIOSEMA HAJANUNUA NYUMBA SA

Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo.

"Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie wasininunie mie, wakazane....halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si yangu waambie hizi... ndio kwanza rasharasha clip hata kupost sijaanza bado....soon naamia ndani😂😂...halaf nlisahau, wakikwambia mie mswahili wambie Mswahili haswaaa👌... halaf uswahili wangu najua kuutumia na umefanya leo niwe na kibanda south asa wao Uzungu wao Umewapa mimi"

0 comments:

Post a Comment