Pages

Subscribe:

Tuesday, October 25, 2016

COUNTRY BOY: MWAKANI NALETA TUZO YA KIMATAIFA BONGO


14727639_1326872867325648_7330908883872907264_n
Rapper Country Boy ameahidi kuwa mwakani atafanya mambo makubwa ikiwemo kuleta tuzo ya kimataifa. Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove. “Inshallah tuombe Mungu na ntakuja kuwaprove kwa hii ngoma ambayo inakuja, ntakuja kuiachia,” amesema.

“Ni ngoma ambayo kubwa sana, ni ngoma ambayo inaweza ikapenetrate Afrika nzima, Nigeria, South Africa, Angola, Senegal, Marekani tutafika...
kote huko,” ameongeza.

0 comments:

Post a Comment