Pages

Subscribe:

Friday, April 24, 2015

NDOTO ZA AUNTY EZEKIEL KUJIFUNGULIA MAREKANI ZAYEYUKA

Ndoto ya Mwigizaji Maarufu na mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel ya kwenda kujifungulia nje ya nchi zimefikia ukingoni baada ya daktari wake kumwambia amechelewa kusafiri kwani kwa miezi aliyofikia w akati huu hairuhusiwa kwa kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege kwani ni Hatari Kitaalam mjamzito akishafikisha zaidi ya miezi... saba ni hatari kusafiri kwa usafiri wa ndege kwani inaweza kusababisha presha ya mama kushuka kwa ajili ya kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani ..Hivyo masharika ya ndege yana utaratibu wao wa kuwakataza mama wajawazito wa miezi hiyo kusafiri kwa usafiri huo.

0 comments:

Post a Comment