Pages

Subscribe:

Tuesday, April 21, 2015

DEMU WA ASLAY ANASA KWENYE PENZI LA KIPA WA SIMBA

 
Detail za mpenzi wa Manyika Jr zimenifikia leo kwamba msichana huyo ambaye yupo mapenzini na kipa Manyika, alikua mpenzi wa msanii wa Yamoto Band Dogo Aslay. Story zilitoka kwamba Aslay na Naima walikua mapenzi kiasi kwamba hadi Naima alichora tattoo ya jina la Aslay kwenye mkono wake.
 
Baada ya Kumalizana na Dogo Aslay wa ya Moto Band Mrembo Naima ambae haishiwi Skendo amehamia kwa... Kipa wa Simba anaitwa Manyika JR , Wawili hao kwa sasa wanagandana kama kumbi kumbi mpaka mashabiki wa Simba wamemshutumu manyika JR kushuka Kiwango cha Kudaka moaka kusababisha Simba Kufungwa bao 2 na Mbeya City Week iliyopita..
Naima Alikuwa mapenzini na Dogo Aslay mpaka Kufikia Kujichora Tattoo ya Jina la Aslay kama invyoonyesha kwenye Picha hapo juu
Picha ya Naima na Manyika wakiwa Kitandani wakifanya yao

0 comments:

Post a Comment