Pages

Subscribe:

Tuesday, April 28, 2015

KING MAJUTO: BAADA YA FILAMU 100 NITAPUMZIKA

Baada ya Filamu 100 nitapumzika- King Majuto
Mchekeshaji mkongwe, Amri  Athumani ‘Mzee Majuto’ amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100. Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.
“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi...
nawapa, mpaka sasa nipo ya sita, nyingi itakuwa nazi-shoot huku Tanga,” alisema Mzee Majuto.

0 comments:

Post a Comment