Pages

Subscribe:

Wednesday, April 22, 2015

OMMY DIMPOZ ATOA SABABU YA KUTO MTAMBULISHA MPENZI WAKE

'Sijapenda kuweka wazi sana swala la mahusiano kwa sababu inatakiwa mimi niweze kuwa na uhakika kwamba huyu ambaye namtambulisha kwa wananchi ni kweli wakati umefika, kwa sababu leo unaweza ukawatambulisha huyu baada ya siku tatu mambo hayaeleweki ukatambulisha mwingine, kwa hiyo mwisho wa siku utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuweza... kuchezea watoto wa kike, najaribu kuwa makini kwa hilo lakini kipindi kitakapofika watu wataweza kufahamu kama Ommy ‘bae’ wake ni yupi' alimaliza

0 comments:

Post a Comment