Pages

Subscribe:

Wednesday, April 29, 2015

JOKATE: KUNAMTU NAMTAMANI SANA KIMAPENZI NA NINAMVUTIA KASI NIMPATE

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata Kupitia bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince “Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila... akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia.

0 comments:

Post a Comment