Pages

Subscribe:

Sunday, April 19, 2015

PICHA: CHRIS BROWN AKIWA NA MTOTO WAKE ROYALTY

Chris Brown and Royalty
kwa mara ya kwanza hapo juzi msanii kutoka bara la America Chris Brown alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na mwanae anaye julikana kama Royalty, Jambo lililo wafanya mashabiki zake kuwa na furaha kwa kiasi kikubwa kwani haikuwahi kutokea msanii huyu...
kushea picha ya aina yoyote akiwa na mwanaye huyo.

0 comments:

Post a Comment