Pages

Subscribe:

Wednesday, April 22, 2015

AFANDE SELE: NIKIPATA UBUNGE NITANYOA RASTA

Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili mwonekano wake endapo atalazimika kufanya hivyo.

0 comments:

Post a Comment