skip to main |
skip to sidebar
NIKKI WA PILI ATOA SOMO KWA WASANII
Staa
wa Muziki Nikki Wa Pili ametoa mtazamo na ushauri kwa wasanii, hususan
wale wanaofanya muziki wa Bongo Flava, kufahamu vizuri aina ya muziki
wanaofanya ili kudumu na kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Kwa
mujibu wa uchambuzi wa Nikki, amesema...
Msanii anapokuwa hafahamu aina ya
muziki anaoufanya, kama kazi nyingine yoyote ile bila dira, ni rahisi
kupotea ndani ya kipindi kifupi tu.
0 comments:
Post a Comment