Pages

Subscribe:

Wednesday, April 22, 2015

PICHA YA NYOKA MKUBWA ANAYE SEMEKANA KUKUTWA KWENYE NYUMBA YA DIAMOND

Ukisikia mitandao wakati mwingine mibaya, kuna watu wenye nia mbaya wametengeneza picha ya nyumba ya Diamondi ikionyesha kuwa anafuga nyoka mkubwa. Picha hii kwa sisi wataalamu wa editing tumeona kuwa ni ya kutengeneza kwani kuna vielelezo macho vinavyoashira kuwa ni ya kuchonga Huyu mtu ameshindwa ujanja mdogo wa kutengeneza kivuli, kwa sababu nyumba inaonyesha...kivuli, mtengenezaji amembanananisha sana na ground floor wakati nyoka huwa ni wa mviringo , kuna mambo wengi tu yakuonyesha kuwa amefeli. Ni hayo wasimwonee wivu mtoto wa wenzie, kapata kiharali.

0 comments:

Post a Comment