Pages

Subscribe:

Tuesday, April 28, 2015

MKE WA HUSSEIN MACHOZI AFUNGUKA BAADA YA HUSSEIN KUTAMKA KUWA HAKUWAHI KUOA MOMBASA

Yule dada aliyedai kufunga ndoa na Hussein Machozi ameibuka na kusema haya Maneno kwa Uchungu baada ya Hussein Machozi Kudai Anatafuta Kick na si kweli kwamba walifungua ndoa :

"Hey jameni hebu msinidhalilishe. mimi ndie mke wa Hussein. na sidhani nikwanini niseme nilifunga ndoa ya kiislam kama niuongo.mimi namuogopa sana Mungu. Ndoa nikitu ambacho nibaraka. mume wangu amenidhalilisha kisa cha kufanya hivyo sikijui. ila mm niko thayari kama akisema aniacha i will say fine. cause haina haja kua na mtu anaekukana ama anaekana Ndoa. Yamenisikithisha sana haya maneno. na kwa ujumbe wenu yeye hakutoroka ndoa. Bali mm ndie nnaeishi nje ya Africa. so yy alirudi... kwao tu baada ya muda mrefu kua kenya mm nlipomuacha huko. ulizeni pande zothe mbili kabla kuandika haya maneno ati mwanamke atafuta kiki. kiki gani nithafuthe africa? Nimwaka gani tulifunga ndoa kama ni kiki mbona sikuithafutha wakathi huo? Muogope Mungu mumewangu. Usikufuru. ila kama ndoa inakushinda iepuke usiikane. duniani utaikana , je mbele yaa Mungu pia waezaikana nakuniita mm huyo mwanamke wakimombasa?
Am sorry realy. mm sina shida yakukimbilia mtu. Namshkuru Mungu Alhamdhulillah"

0 comments:

Post a Comment