Pages

Subscribe:

Saturday, April 18, 2015

WEMA: NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU... NINAMMISS SANA DIAMOND

Wema amefunguka haya alipo kuwa akihojiwa  na Gardner G Habash, anasema ni namna gani anammiss Diamond.
"Unajuwa diamond ni mtu tuliyekaa nae miaka mingi sana hivyo kama binadam uwa natokea kummmiss sana". Anaendelea, "Sometimes uwa naweka nyimbo zake kwenye gari langu sababu pamoja na yaliyo tokea mi ni shabiki na nimefall sana kwake. Najua kuna watu wataichukulia vibaya kwamba oooh oooh amemmiss amemmiss ila mimi nimeamua kuwa honest. Kuna kipindi inanitokea tu nammiss sana unajua...

kuna vitu tulishea na yale mazoea kwa kweli nammiss ata yeye najua ananimiss ila anajifanya tu.

Nilishawai kumtext lakini hakunijibu, lakini namjua mwenzangu mkishakaa mbali ana zile kupoteza moja kwa moja, unajua mimi sio mswahili na haya mambo kila mtu na IQ yake mimi ata tukiachana tutabaki marafiki ila mwingine unakuta tatizo sijui malezi au IQ sijui.


Amezungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.

Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.

Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana. Source:EFM 

0 comments:

Post a Comment