Pages

Subscribe:

Thursday, April 6, 2017

Story: SLAVE SEX (mTUMWA WA NGONO) 09

Image result for MTUMWA WA NGONo 01
AGE…(18+)

ILIPOISHIA.
Isha Alisema huku akiweka tiketi ya ndege mezani kwa Nickson kumaanisa kuwa jambo la safari yake ya kwenda mkoani Kigoma hazikuwa mzaha.Ni kweli Nickson alitakiwa asafiri kikazi mkoani Kigoma siku hiyo saa nane mchana!


SONGA NAYO.

Barua aliyokuwa ameishika Nickson Shayo ilimtoa kijasho jembamba,akili yake ilimtuma ni lazima Bosi wake Magugu alifanya njama za yeye kupelekwa mkoani huko ili tu aweze kuwa mbali na mke wake, licha ya...
yote hakutaka kuumia sana moyoni kutokana na alimuamini sana Gloria,na alielewa kwa bosi kumsafirisha kikazi ilikuwa ni kazi bure tu.

“Sawa Isha,wacha nikajiandae.Mpango wa safari upoje?”
Nickson alimuuliza Sekretari.
“Utaenda na Morisi pamoja na Aziza”
“Okay sawa,wacha mimi niende home sasa hivi”
“Sawa,safari njema Nickson”
“Ahsante”
Kwa kuwa aliiheshimu miiko ya kazi yake ilimbidi tu asimame na kutoka nje kinyonge, ambapo aliingia ndani ya gari na safari ya kwenda nyumbani kwake kuanza mara moja!


Kichwani mwake picha iliyomjia ni ya mke wake Gloria jinsi atakavyokuwa mwanamke mpweke, aliamini fika kuwa habari za yeye kusafiri zingemshtua mno maana zilikuwa za ghafla.


Msongamano wa magari ndiyo ulizidi kumuumiza kichwa chake zaidi,alivyotupa macho juu ya saa yake ya mkononi ilikuwa imeshatimu saa nane na dakika saba,hakuwa na muda wa kupoteza tena ilibidi avunje sheria za barabarani na kupita kandokando, aliitafuta njia ya uchochoroni na baadaye akatokeza majumba sita, hapo aliinyoka mpaka kwake.Alizima gari kinyonge na kuingia ndani.

“Vipi?mbona mapema leo kuna usalama kweli?”
Gloria aliuliza baada ya kumuona Mume wake, hata yeye alishtushwa, sura aliyoingia nayo mumewe ilimfanya atake kujua zaidi.


“Nickson,kuna shida gani?”
“Hapana mke wangu,nina safari leo saa tisa,tafadhali naomba niandalie nguo zangu”
“Safariiiiii?”
“Ndio”
“Kivipi?mbona ghafla?”
“Ndio ivyo hata mimi nimeshangaa nachokuomba unipasie lile shati langu jeusi mimi naenda kuoga”.


Nickson aliongea huku akitembea.Gloria mpaka hapo hakuamini, wakati mwingine alijua ni utani na alisubiri mume wake ageuke na kumwambia kuwa ni masihara, lakini haikuwa ivyo.Mpaka Nickson anatoka bafuni kuoga Gloria alikuwa teyari keshapiga pasi nguo tayari.
“Nickson safari ya wapi?”
“Kigoma kikazi mpenzi wangu”
“Utakaa siku ngapi huko?”
“Sio siku wala wiki mke wangu,ni zaidi ya Miezi mitatu”.


Gloria alilengwa na machozi machoni, alimuangalia mume wake alivyokuwa mzuri na kichwani mwake alikuwa akikumbuka raha walizokuwa wanafanya kitandani,hakuelewa angeishi vipi.
“Ni mingi sana”
“Naelewa,naomba univumilie naa….”
“Piiii piiiiiiiii”
Nickson akashindwa kumalizia sentensi yake alivyochungulia dirishani aliona gari lao la ofisini kwake likipiga honi, alimkumbatia mke wake na kumpiga denda la sekunde tano.Gloria hakutaka kutoka mdomoni kirahisi mpaka Nickson alivyomsogeza.


“Gloria,naomba niende baki salama,nachokuomba tu uwe makini sana,tutaongea kwenye simu nikifika,wenzangu wameshafika wapo nje,I love you my wife”
Kila mtu alikuwa katika hali ya uzuni kupita kiasi moyoni mwake.Nickson akatembea hatua za taratibu kisha kugeuka nyuma,alimuonea sana huruma Gloria aliyekuwa analengwa na machozi.


“Nakupenda Ni….ckso..n na..kupenda sa…na”
Hayo ndiyo maneno aliyekua anaongea Gloria huku akiangua kilio,Nickson alivyotaka kumfuata honi ya gari illimshtua tena,hakuwa na jinsi zaidi ya kutoka nje na kuingia ndani ya gari la ofisi ambapo aliwakuta wafanyakazi wenzake wapo tayari na hapo hapo safari ikaanza.

 “Mambo vipi Ester”
“Pedeshee Kway..,papaaa Mujogoloo uko wapi? jamani nimekumisi”
“Nipo Kongo nakuja leo usiku nitakuwa hapo saa tatu”
“Mwongo,mwezi uliopita uliniambia ivyoivyo”
“Nipo Siriazi!siku ile Yule mzungu alinibana nikashindwa kuja,si unajua nilikuwa nalea,sasa mimi nakuja si unajua nimekumisi”
“Njoo njoo,tena siku izi kuna watoto wazuri haoooo asikwambie mtu”
“Sema ukweli?”
“Kweli tena,maana wewe unapenda sana michuchu”
“Ndio starehe yangu hiyo,niandalie mtoto mmoja mkali sana kuliko Yule wa siku ile”
“Pigia mstari Papaaa Kway,Mutu na pesa zakee”
“Weeeeee!”
“Ha! Haa!Haaa!Hahaaaa! hapo ndiyo unaponikosha,hujutii kutumia pesa, kwa hiyo wapi?”
“Chagua kiwanja”
“Nimekumbuka leo club E kuna show ya Fally Ipupa,anafanya show pale”
“Andaa mazingira,nitafutie mrembo mmoja wa bien sana”
“Bien Bien, Kway weee nilikumisije”
“Basi nakuja leo usiku uwepo Mwalimu Nyerere”
“Ondoa shaka”.


Msichana aliyefahamika kwa jina la Ester alifurahi sana,kupokea simu ya Pedeshee Kway au Papaa Mujogolo kama Tanzania walivyozoea kumuita,alifurahi kwa mambo mengi,moja aliamini kuwa siku hiyo atavuna pesa nyingi, pili atapewa penzi na mwanaume huyo tajiri anayemiliki miradi mingi nje na ndani ya nchi na pia kitendo cha kumtafutia kigoli mwingine atazidi kuchuma pesa zaidi.


Hakutaka kupoteza muda asubuhi hiyo ya saa mbili alivaa haraka haraka na kwenda mjini kariakoo ili kununua mavazi mbali mbali ya siku hiyo usiku.kisha kupitia saluni kuweka nywele zake sawa.

“Mbona una furaha shosti?”
Rafiki yake alimuuliza baada ya Ester kufika saluni.
“Papaa Mujogolo anatua leo bongo”
“Mwongo”
“Wallah laazim”
“Sasa tunafanyaje?”
“Kanipa kazi ya kumtafutia mtoto mzuri si unajua yule mwanaume anapenda sana totoz”
“Mimi si nipo”
“Wewe hufai,kwa sura gani uliyo nayo,usinipotezee bahati,nishapata mtu wa kumpeleka”
“Nani?”
“Jirani yangu Yule Gloria”
“Haaaaaa”
“Nini?”
“Yule mchaga atakubali?”
“Usifanye mchezo na pedeshee Kway,papaa Mujogolo tajiri mtoto,Yule jamaa anapesa atii,subiri aje”
“Mhh MAKUBWA”’.


Esta alivyomaliza kuseti nywele zake alipanda daladala mpaka nyumbani kwake, ambapo hapo hakukaa sana alinyoosha mpaka kwa jirani yake Gloria na kugonga mlango.


“Karibu Esta”
“Nishakaribia,vipi hali shoga angu?”
“Salama tu”
“Leta maneno pole na upweke”
“Acha tu,nishazoea mwenzio,mwezi huu ushapita inabidi nichukulie kama maisha ya kawaida”
“Kweli mwenzangu,huoni kuwa unachoka kukaa peke yako ndani kila siku?”
“Nishazoea Ester”
“Hapana kwa kweli,leo inabidi tutoke sina kampani mwenzio,nataka unisindikize mahali”
“Jamani, mimi huu mji sijawahi kutoka hata kidogo”
“Utakuwa namimi usijali shosti khaaa,yaani mjini hapa hujawahi hata kutoka nje,unanishangaza ujue, Nickson naye kazidi ubahili,leo siku bali shosti yangu leo sikuachi hata kidogo”
“Jamani Estaaa”
“Kweli nakwambia,twende ukalione jiji la Dar”
“Hapana siwezi”
“Sio vizuri ivyo nakuomba au nipige magoti?”
Ester alizidi kumshawishi Gloria na jitihada zake zikafanikiwa, akakubali watoke siku hiyo jioni.
“Nimwambie Nickson?”
Gloria alimuuliza Ester.
“Hapana,haina haja tutawahi kurudi”
“Sawa tuwahi kurudi kweli lakini”
Moyo wa Ester ulijawa furaha ajabu, mbele yake aliona pesa, kumkutanisha Gloria na Pedeshee Kway ilikuwa ni kama kuuza madini ya almasi.


“Oza wapi?”(Upo wapi)
“Naza na Lumbumbashi”(Nipo Lumbumbashi)
“Nalingi voyajer na Tanzania”(Nataka kwenda Tanzania)
“Heure?”(Lini)
“Butu ya lelo”(Leo jioni)
Pedeshee Kway alikuwa simuni, pembeni alikuwa amelala mwanamke wa kizungu yupo uchi wa mnyama, mkono wake wa kulia upo juu ya kalio lake,alivyotupa simu alimsogelea mdomoni na kuanza kulana denda taratibu,huku Mkono wa Pedeshee Kway ukiwa taratibu unapita chumvini na kuanza kupima oil,Mzungu alipagawishwa na ndio maana alihama makazi yake kutokea nchini Canada mpaka Demokrasia ya Kongo kisa penzi la Pedeshee Kway.


Mbali na kuwa na pesa nyingi, Kway alikuwa fundi kitandani kama angekuwa uwanjani basi angepewa jina ‘Leone Merci’ mchezaji wa Barcelona kutokana na uchezaji wake,Mwanamke aliyekuwa kitandani alikuwa amemzalisha watoto wanne tayari.

“Ahhhhh Babyy aaaashhh Fuc**** me”
Mwanamke Kim! alilalamika baada ya pedeshee kway kupitisha ulimi wake ndani ya mgodi wake akawa kama anaufyonza taratibu mno,huku wakati mwingine akiwa anapima oil.


Kim alipagawa sio masihala,neno ‘baby’ ndilo lilikuwa likimtoka.Kwa kuwa Kway alikuwa anasafiri siku hiyo mechi hiyo aliifanya kufuru.Alimuendea kifuani na kuanza kumnyonya maziwa taratibu mno huku mkono wake ukiwa unacheza na kinyama cha juu kilichofanana na kiharage taratibu sana karibu na mgodi.


Kim nayeye hakukubali alimbinua Mpenzi wake na kumuweka chali kisha kushika mashine kubwa na kuiweka mdomoni akawa anainyonya taratibu kama koni.

Mambo yaliyokuwa yanafanyika hapo yalikuwa hatarishi,kila mtu alikuwa mtundu na mjuzi.Wachezaji walivyomaliza kupasha, filimbi ilipigwa na mechi kuanza, Kway akapanda kwa juu Kim chini, kilichosikika hapo ulikuwa ni mlio wa chaga kucheza,ilikuwa kila baada ya sekunde tatu staili inabadilishwa na baada ya dakika ishirini kila mtu alikuwa hoi.

“Baby I’ll miss you”
Kway alimwambia Mpenzi wake aliyeweka kichwa kifuani kwake huku akiwa anachezea nywele zake laini zilizokuwa ndefu.
“Mee too honey,when are you coming back?”
“I don’t know, but as soon as possible, I have to go back to my country, take care of your self baby”.


Kway na Kim waliagana kisha kuingia bafuni huko walipigana mabusu na Kim kuanza uchokozi, Kway akamjibu wakafanya tendo ambalo halifai kwa watoto wadogo.

Walitoka bafuni na Kway akawa ana kazi ya kujiandaa,hakusahau vitu vyake vya thamani kama pete za dhahabu na cheni zake,kukaa sana Nchini Kongo kulimfanya awe kama watu wa huko,Shingoni alivaa cheni saba na pete nyingi vidoleni.Alimbusu Kim na kuanza kuongozana mpaka kwenye maegesho ya magari ambapo hapo walimkuta dereva keshafika tayari anawasubiri.
Gari liliwashwa na safari ya kuelekea uwanja wa ndege kuanza.


“Est-ce –que cava?”(Mko poa)
Kelele za fujo zilisikika ndani ya ukumbi wa club E, baada ya mwanamme mrefu kidogo aliyevalia nguo ya rangi nyekundu na suruali nyeusi akiwa jukwaani,kelele zilisikika kila pembe, alikuwa si mwingine bali ni Fally Ipupa ameingia jijini Dar es salaam kufanya ‘show’ kwa mara ya kwanza. 


ukumbi ulijaza mpaka ukatapika watu.Wasichana wengi walikuwa mbele kabisa wamenyoosha mikono yao hewani wakimshangilia mwanamme huyu wa kikongo anayesifika kwa nyimbo za lingala na kukizungusha kiuno chake kama feni.


Watu walijaa kiasi kwamba hewa ikawa finyu,Matajiri mbali mbali walikuwepo katika ukumbi, mapedeshee wa Mjini hawakukosa ilikuwa patashika!,Pedeshee Kway nayeye hakukosa katika ukumbi huo, hata yeye alikuwa akimpenda sana Fally Ipupa.
Balaa lilianza baada ya kuanza kukatika kiuno chake na wimbo wa ‘Associe’.


“Vemaa zala Kiswahili mala boku zemaaa,zekolovoshii”
Fally Ipupa alisema huku bendi aliyokuja nayo kuzidi kutumbuiza alikuwa akifanya ‘live band’hapo ndipo alipowakosha mashabiki.watangazaji maarufu Ben Kinyaiya na Maimartha wa Jese pia walikuwepo hawakutaka kukosa.


Mziki ulichanganya wake za watu pamoja na wasichana walishindwa kuzizuia hisia zao walijikuta wakipanda na kucheza na Fally Ipupa bila haya yoyote!walijibinua na kumpagawisha Msanii huyu aliyekua anawashika viuno vilivyo.


“Nataka kuyoya bibi mumoja hapa,nataka kuyoya bibi mumoya hapa,one lady for me”
Fally Ipupa aliongea Kiswahili kibovu akimaanisha anamuhitaji binti mmoja,macho yake yaligongana na msichana mweupe sana aliyevalia shati jeupe na kumyooshea kidole akimaanisha kuwa apande jukwaani ili acheze naye.


“Gloria,jamaa anakuita”
Esta alimwambia Gloria.
“Hapana sio mimi”
“Ndio,kidole kakunyooshea wewe”
“Sitaki Ester turudi”
Gloria akagoma.
Mziki uliendelea kutumbuizwa matajiri mbali mbali walipanda kila mtu akitaka kuonesha uwezo wake kifedha.


“Nakombo nangai Pedeshee Kway,papaa Mujogolo Nakupesa yo mbongo Mingi,Okoza la rishe,pesa bambote nangai na koffi Olomide, lakisa bangoo quenga naza nambongo mingi”(Naitwa pedeshee kway,papaa Mujogolo,nakupa pesa nyingi uwe tajiri sana,mpe salamu zangu Koffi olomide,waambie hawa watu kuwa mimi nina pesa nyingi punda hawezi kubeba).


Pedeshee Kway ndiye aliyekuwa jukwaani ameshika kibunda cha dola mia mia,anam-mwagia Fally Ipupa akiwa karibu na sikio lake ana muongelesha kilingala.
“Paaaa Mujogoloo,Papaa Kway…Pakolate,piga makombo kwa Papaa Kway Mercii pedeshee kway merci”Fally Ipupa alisema.


Fally Ipupa aliogeshwa hela kisha papaa Kway akashuka. Mpaka kwenye meza ya V.I.P walipokuwa wamekaa Esta pamoja na Gloria.
“Esta,twendeni Billz”
Alisema Kway.
“Jamani mimi nirudishe nyumbani”
Gloria akawa hayupo tayari.


“Mimi nitakurudisha usijali”
Pedeshee Kway alitoa kibunda kingine cha noti za elfu kumi kilichovimba na kumkabidhi mchaga Gloria,Moyo wake ulimdunda kwa nguvu zilikuwa ni pesa nyingi mno kupewa.


“Nakuomba kamata hizi pesa,naomba tuongozane mimi nitakurudisha usijali upo na Ester”
Gloria bado alikuwa njia panda, Ester akamkanyaga mguu kumpa ishara kuwa akubali kuzipokea pesa hizo nyingi.


Simulizi zitakujia hapa hapa kila siku kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa nne asubuhi na ukipitwa na story basi nenda hapo juu kwenye menyu kisha bofya mahali palipo andikwa LOVE & STORY. Pia waweza kudownload Application yetu kwa kubofya neno DOWNLOAD hapo chini ufuate na maelekezo ili uweze kupata story na updates mbalimbali kwa muda muafaka na kwa urahisi zaidi.
 

Tukutane tena kesho muda kama huu.. ahsante


Download

0 comments:

Post a Comment