Pages

Subscribe:

Sunday, April 2, 2017

[AUDIO] DIAMOND AZUNGUMZA HAYA KUHUSU MENEJA WAKE MPYA KUTOKA MAREKANI


Ukiona Nina changamoto changa Unga tusonge Ugali...
Mwisho wa siku wote tunashiba, na Mambo yanakuwa shwari...😊

Diamond Platnumz amekuwa moja kati ya vijana wenye ushawishi sana kwa watu na sasa ametangaza kuendelea na tua zake za kutembelea vyuo ili kuhamasisha vijana pia hakusita kuzungumza juu ya maisha ya tandale na amefunguka mengi kuhusu Collin Meneja wake mpya kutoka pande za USA. 

unataka kujua kasema nini basi Msikilize hapa chini.

Play Here 

Download 

0 comments:

Post a Comment