Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

Free Download: SmashKilimanjaro App For Your Phone


Related image

Download

Smashkilimanjaro inapenda kukutangazia wewe mtumiaji wa smartphone kuwa sasa wamekusogezea huduma ktk simu yako ya kiganjani, Unacho takiwa kufanya sasa ni kuipakuwa ili uweze kupata huduma zetu kirahisi zaidi.

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUDOWNLOAD APPLICATION YETU
1: Fungua...
settings kwenye simu yako.

2: Shuka na uchague sehemu iliyoandikwa Security

3: Teremka chini na weka alama ya tiki kwenye sehemu iliyoandikwa Uknown Sources.

Baada ya hapo sasa unaweza KUDOWNLOAD Applications ya Smashkilimanjaro na uendelee kunufaika nayo.  

THREE THINGS TO DO BEFORE INSTALLATION
1: Open Menu
 

2: Choose Settings
 

3: Open Security
 

4: Choose the comand Uknown Sources select it (put a mark on it)
  

 
After that you can install our Application without any problem.

Download

 

0 comments:

Post a Comment