Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

KIM KARDASHIAN AFANYA UPASUAJI WA MAKALIO YAKE KWA MARA NYINGINE


Mwanamitindo na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians (KUWTK), Kim Kardashian amefanya upasuaji wa kuyarudisha makalio yake kwa mara nyingine. 

Mwezi uliopita, Mtandao wa RadarOnlineuliripoti kuwa mwanamama huyo mwenye watoto wawili, North na Saint aliyezaa na mkali wa Hip Hop, Kanye West ameamua kufanya upasuaji wa...
kuyapunguza makalio yake alipokuwa katika ziara ya kifamilia huko Costa Rica.
Kwa habari za sasa, Kim ameamua kuyarudisha upya makalio yake na haijawekwa wazi sababu iliyomfanya kuchukua uamuzi huo ndani ya mwezi mmoja.

0 comments:

Post a Comment