Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

TEGEMEA COLLABLE YA NIKKI WA II NA J.COLE



Nick wa Pili hatamani kufanya collabo na msanii wa Afrika, walau kwa sasa. Lengo lake ni kufanya ngoma moja na mkali wa Power Trip, Jermaine Lamarr Cole aka J.Cole.

“Collabo yangu ambayo naiwaza hivi ni yangu na J.Cole,” alisema Nick kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV. “Sababu J.Cole na mimi naona kuna...
mahali tunakutana, aliongeza rapper huyo wa kundi la Weusi.
 
Hadi sasa Nick wa Pili hajafanya collabo yoyote ya kimataifa.

0 comments:

Post a Comment