Pages

Subscribe:

Friday, April 7, 2017

BEBE COOL NA SAUTI SOL WAKAMILISHA COLLABLE YAO



Bebe Cool ameingia studio na Sauti Sol kutengeneza wimbo wao mpya. Muimbaji huyo wa Uganda amedaiwa kuwa amesafiri hadi nchini Kenya kwaajili ya kufanikisha wimbo huo uliopewa jina la ‘Mbozi za Malwa’ ambapo video yake pia inategemewa kuwa tayari hivi karibuni.

Kupitia mtandao wa Instagram wa kundi la Sauti Sol wamethibitisha kufanya kazi na Bebe kwa kuandika, “Squad... loading heat.
@bebecool_ug | #SautiSol | #MboziZaMalwa | #SoonCome | #Kenya | #Uganda .”

0 comments:

Post a Comment