Pages

Subscribe:

Thursday, April 6, 2017

BLAC CHYNA ATUPILIA MBALI PETE YA ROB KARDASHIAN


Drama ya Blac Chyna na Rob Kardashian bado ipo pale pale na this time imekuja kivingine.

Kupitia ripoti ambayo imetolewa na E Newz imesema kwamba Blac Chyna alionekana usiku wa jumanne bila kuwa na pete yake ambayo alivishwa na Rob Kardashian April mwaka jana, huku baazi ya watu wa karibu wa Blac Chyna wamefunguka ya kwamba...
Rob na Chyna hawapo pamoja tena hata hivyo kutokuonekana na pete ni kwamba Chyna alishairudisha kwa Rob.

Jisogeze karibu nasi kwa ku-Download Android App yetu hapa chini ili uweze kupata habari kwa urahisi na wakati sahihi zaidi.

Download

0 comments:

Post a Comment