Pages

Subscribe:

Thursday, April 6, 2017

UKIMYA WA B.O.B WAMFANYA ARUDI NA ALBUM


Baada ya kuwa kimya kidogo, B.O.B amerudi upya na ujio wa Album yake mpya ya  ETHER inayotarajiwa kuachiwa May 12 mwaka huu.

Album ya “EITHER” ndio itakuwa album yake ya kwanza baada ya mkataba na Grand Hustle/Atlantic Records kuisha na hiyo itakuwa Album yake ya nne tangu kuanza kuachia kazi zake, kupitia kurasa yake ya Instagram, B.O.B aliposti...
cover art ya Album yake hiyo ya “EITHER”.
Cover

0 comments:

Post a Comment