Pages

Subscribe:

Tuesday, April 4, 2017

TAMMY AFUNGUKA KUHUSU KUJIACHIA NUSU UTUPU


Msanii wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Tamara Ally ‘Tammy The Baddest’ ameweka wazi sababu zinazomfanya kujiachia nusu kwake ni kitu cha kawaida na hata mazingira ya nyumbani kwao na wazazi wake wamemzoea, hivyo haoni cha ajabu.

Akizungumza, Tamara anayebamba na Wimbo wa Mtoto wa Kike alisema, kukaa nusu utupu mpenzi wangu mwenyewe ananichukulia poa kwani ni...
kawaida mwanamke kujiachia just life style tu, hata kwenye video yangu (Mtoto wa Kike) nimeonesha hadi nguo ya ndani mbona ni vitu vya kawaida tu jamani,” alisema Tammy.

0 comments:

Post a Comment