Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

TAZAMA VIDEO HARMORAPA ALIVYOKOSWA NA CHUPA JUKWAANI


Usiku wa kuamkia leo pande za Maisha Basement jijini Dar es Salaam kulikuwa na show iliyokuwa ikimuhusisha mkali wa kiki Bongo Tanzania Harmorapa.

Moja kati ya vitu ambavyo vilimake headlines kinoma noma na kusababisha hata show ya mkali huyo kushindwa kumalizika katika usiku huo ni baada ya kitendo cha shabiki mmoja kurusha chupa jukwaani wakati...
Harmorapa akiwa anaperform.

Kitendo ambacho kiliwauma wengi ambao ni mashabiki wa Harmorapa na hata wadau wasiokuwa na chuki na mkali huyo.

Nimeinyaka full video ya kilichotokea usiku tazama hapa chini.

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment