Pages

Subscribe:

Monday, April 3, 2017

MTOTO WA MICHAEL JACKSON AFANYA JAMBO HILI KUMKUMBUKA BABA YAKE



Mtoto wa Marehamu Michael Jackson, Prince ametoa zawadi kwa baba yake japo amefariki. Kupitia mtandao wa Instagram, Prince mwenye miaka 20 ameweka kipande cha video kinachoonyesha tattoo yake mpya aliyochora chini ya...
mguu wake wa kulia yenye picha ya mzazi wake huyo aliyefariki takribani miaka nane iliyopita.

“Thanks @dermagraphink for sittin 9hrs with me for such an incredible and beautiful tattoo. I will be posting more of this,” ameandika katika video hiyo.

0 comments:

Post a Comment