Pages

Subscribe:

Saturday, November 18, 2017

PREZZO AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE KWA AMBER LULU NA KUAHIDI KUTO MUACHA



Rapper wa Kenya, Prezzo ameonesha kuthibitisha rasmi uhusiano wake na video model aliyegaukia uimbaji, Amber Lulu. 

Akiweka picha kwenye Instagram akiwa na Lulu, Prezzo ameandika, “Wacha waongee Lulu wangu, cha msingi we jua niko na wewe. President hatakuwacha uzame...
kamwe. Ngechu got u mia mia mia #Rapcellency #GodsSon #TheMakiniTeam #MamaCandy.”

Siku kadhaa zilizopita pia aliweka picha nyingine na kuandika, “Pili pili msioila inawawashia nini?? Tuko freshi ka chungwa #LuluMafia #Rapcellency #TheMakiniTeam.”

Hata hivyo kwenye interview wiki kadhaa zilizopita, Prezzo alidai kuwa Lulu ni rafiki yake tu.

0 comments:

Post a Comment