Pages

Subscribe:

Friday, November 24, 2017

HUDDAH MONROE AMKINGIA KIFUA MTOTO WA ROBERT MUGABE



Kuna nini kati ya mtoto wa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe, Chatunga Bellarmine Mugabe na Huddah Monroe.

Mrembo huyo wa Kenya ameandika ujumbe kupitia mtandao wa Snapchat, kumkingia kifua mtoto huyo ambaye anaonekana kuchukiwa na watu wengi kutokana na...
kauli yake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kabla ya Rais Mugabe kutangaza kujiuzulu.

Huu ni ujumbe wa Huddah ambao ameandika kwenye mtandao huo.


0 comments:

Post a Comment