Pages

Subscribe:

Saturday, November 18, 2017

Video: WIZKID AMRUSHIA NGUMI MPAMBE WA DAVIDO WAKIWA BACKSTAGE


Katika tamasha la One Africa Festival huko Dubai ambalo mastar wa Africa wameshiriki wakiwemo mastar wa Africa ambao hawako vizuri katika mahusiano yao kimziki.

Hapa tunamuongelea Wizkid na Davido, hiyo Jana katika tamasha ilo ambapo wote walikuwa wanaperform wakati wakiwa “back stage” inasemekana mshikaji wake Davido alimtolea...
maneno mabaya mkali Wizkid na kupelekea wizkid kumpiga ngumi ya pua mshikaji wake Davido
Kitendo hicho kilipelekea Crew ya Davido na Wizkid kuzikunja wakiwa backstage.
Inasemekana katika ugomvi huo msanii Sarkodie ameumizwa wakati akijaribu kusuruhisha ugomvi.

Tazama hapa chini

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment