Pages

Subscribe:

Monday, November 20, 2017

ALIKIBA NA VAZI LAKE LA VIKAPTULA NI SHIDA



Alikiba ana fahamika kwa uimbaji wake mahiri hasa sauti yake inayowavutia wengi na kufanya msanii huyo ajiongezee mashabiki lukuki. Lakini leo tunamtazma mkali huyu wa ‘Seduce Me’ kupitia vikaptula vyake au vipensi kama mwenyewe anavyopenda kusema.

Mara nyingi Ali amekuwa akipenda kutokelezea kwa vivazi vya kamptula na kufanya vijana wengi watamani na waaendea...
kuvaa kaptula. Miaka ya zamani ilikuwa huwezi mkuta kijana akivaa kaptula hadharani ila sasa wengi wamekuwa tinga nguo hio.

Uzuri wa kuvaa kamptula au pensi lazima utinge na raba fulani hivi kali ili utokelezee. Na kuonyesha kuwa nguo hizo zinakubalika hata baadhi ya wadada ama wanawake wameamua isiwe kesi ngoja na sisi tu tinge.


 

0 comments:

Post a Comment