Katika kisiwa hiki moja kati ya usafiri mkuu ni gari aina ya Citroen’s 2CV ambazo hutumika kama taxi. Citroen’s 2CV inaelezwa kuwa ni gari ambayo kiasili ilikuwa inatumika na bado inatumiwa katika...
maeneo ya kijiji nchini Ufaransa, na pindi wakoloni wa Kifaransa walivyoondoka kisiwani hapo baada ya ukoloni, magari haya yaliendelea kutumika.
Ni magari ya model ya zamani sana lakini bado ni usafiri maarufu sana Madagascar kwani unaelezwa kuwa ni magari magumu ambayo hayahitaji gharama nyingi za mafuta na matengenezo na pia hudumu kwa miaka mingi sana.
0 comments:
Post a Comment