Pages

Subscribe:

Wednesday, November 22, 2017

JAY Z AMSAINI MARIAH CAREY KWENYE EBO YA ROCK NATION


Baada ya Mariah Carey kuachana na meneja wake, Stella Bulochnikov, ameamua kusaini na label ya Jay Z, Roc Nation. 

Chanzo kimoja kimeiambia tovuti ya Page Six kuwa Mariah amebadilisha pia watu wengine wakiwemo wasaidizi na mwanasheria. Mpenzi wa Carey, Bryan Tanaka anadaiwa kuendelea kuwa...
mkurugenzi wake wa ubunifu.

Mariah na Jay Z wana historia ndefu ya kufanya kazi pamoja ikiwemo kwenye nyimbo kama “Heartbreaker,” “You Got Me,” na “Things That U Do.”

0 comments:

Post a Comment