Pages

Subscribe:

Monday, November 20, 2017

BANKY W AFUNGA NDOA YA KIMILA NA EDESUA ETOMI


BAAD2017-Banky-W-Adesua-Etomi-Traditional-Wedding-Reception-BellaNaija-24
Msanii wa muziki kutoka Nigeria na CEO wa EME, Banky W amefunga ndoa na mpenzi wake Adesua Etomi wikiendi hii.

Banky W ambaye aliripotiwa kuwa anapambana na ugonjwa wa kansa ya ngozi wiki chache zilizopita ameamua kufunga ndoa ya kimila iliyofanyika katika mji wa Lagos Nigeria. Sherehe hiyo ilipambwa kwa...
mavazi ya kimila. 
 
Wiki chache zilizopita Banky W alifanyiwa upasuaji wa tatu katika maisha yake kwa ajili ya kutibu kansa ya ngozi ila kwa sasa anaendelea vizuri na mwenye afya njema.
BAAD2017-Banky-W-Adesua-Etomi-Traditional-Wedding-Reception-BellaNaija-SC-George1-

Groom-BAAD-2017-Banky-W-BellaNaija

Groom-BAAD-2017-Banky-W-BellaNaija-1

0 comments:

Post a Comment