Pages

Subscribe:

Wednesday, November 22, 2017

ROBERT MUGABE AAMUA KUJIUZURU NAFASI YA URAIS

Spika wa bung la Zimbabwe ametangaza rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe 
amejiuzulu nafasi ya urais aliyoishikilia kwa miaka 37.

Kumekuwa na shangwe miongoni mwa wabunge kufuatia tangazo hilo lililotolewa muda mfupi uliopita huku  mchakato wa kumuondoa madarakani rais huyo kupitia Bunge ukiwa...
umesitishwa.

Kupitia ukurasa wa rasmi wa Twitter wa Chama tawala nchini humo cha Zanu-PF kimethibitisha taarifa hizo kwa kuandika “R G Mugabe amejiuzulu. Safari ya zama mpya inaanza rasmi”

0 comments:

Post a Comment