Pages

Subscribe:

Friday, November 24, 2017

TIWA SAVAGE AWAUMBUA LIB EXCLUSIVE KWA KUKANUSHA HABARI WALIYO ISAMBAZA


First lady kutoka Mavin Records, Tiwa Savage ameimbua blog ya LIB iliyoandika kuwa ana mimba na anatarajia kupata mtoto wa pili. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, mrembo huyo amekanusha vikali juu ya taarifa hiyo na kudai kuwa ni...
uongo kwani hapo alikuwa amenenepa tu.
mimba

YEPKA  Sorry this ISNT true guys
#ThoughtThisWasAReputableBlog
#JustGainedHappyWeight
#HeadingStraightToTheGym
#FunnyHowPeopleThinkTheyKnowWhatsGoingOnInOtherPeoplesWomb
#NoPregnancyHereYet
#GodsTime

0 comments:

Post a Comment