Pages

Subscribe:

Saturday, November 18, 2017

OMARION AJA NA CP YENYE NYIMBO NNE TU


Msanii kutoka Marekani Omarion ameachia CP yake mpya ambayo ina nyimbo nne ndani yake.  Ngoma ambazo zipo katika CP hiyo ni pamoja na ‘Open Up’, ‘Soul’ na ‘Flight’ ambazo amemshirikisha C’zar, na ‘Been Around’.

Baada ya kuachia CP hiyo, mkali huyo wa muziki R&B ameonekana kwenye kipande cha video akisema, “I have done a lot in my career. I’ve done so much in my career that, the meaning of everything has...
changed. It’s way more personal.”
Kwa sasa EP hiyo imeanza kupatikana kwenye mtandao wa Spotify.

0 comments:

Post a Comment