Pages

Subscribe:

Wednesday, January 20, 2016

SHETTA ANAMILIKI "LAND ROVER DISCOVERY"

12530799_1551691211823124_755153642_n


Shetta ni miongoni mwa wasanii wachache wanaotembelea gari za kifahari Bongo.

Muimbaji huyo wa Shikorobo anatembea Land Rover Discovery. Akizungumza kwenye kipindi cha E-Newz cha East Africa Television Jumatatu hii, Shetta alisema kwa sasa hataki kusema chochote kuhusiana na chuma hicho hadi baadaye.
 
“Sitaki kuzungumzia suala la gari, acha sasa hivi iende ende kwanza,” alisema.
Diamond, Nay wa Mitego, Wema Sepetu, AY na wengine ni...
miongoni mwa mastaa wenye magari ya kifahari.

0 comments:

Post a Comment