Pages

Subscribe:

Thursday, January 7, 2016

MBOTO NA RIYAMA WASHIRIKI KWENYE VIDEO YA TUNDAMAN MAMA KIJACHO

rimaya444
Mastaa wa kali wa Bongo Movies, Riyama Ally na Mboto Haji kushiriki kwenye video ya wimbo wa mama kijacho wa msanii Tunda Man. Tunda Man ameeleza kuwa kichupa hicho kitakuwa cha aina yake tofauti na vichupa vyake alivyowahi kutoa, kichupa hicho kinaandaliwa na muongozaji mahiri nchini Hanscana.

Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera za video hiyo. Tazama hapa...



riyama2300

0 comments:

Post a Comment