Pages

Subscribe:

Thursday, January 28, 2016

DIAMOND HANA BIFU NA IDRIS, AMTUMIA SALAMU ZA BIRTHDAY

noma


Hutakiwi kuwa na kinyongo na boyfriend wa ex wako hata kama amempa ujauzito, kwa mujibu wa Diamond Platnumz.

Diamond amemtumia Idris salamu za pongezi kwenye siku yake ya kuzaliwa Alhamis hii. Hatua hiyo imekuja wakati ambao kila mtu anadhani Diamond na Idris haziivi tena kwakuwa mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014 amepokea...
kijiti kutoka kwake.
Mbaya zaidi hivi karibuni Wema Sepetu na baby mama wa Diamond, Zari the Bosslady walibadilishana matusi mtandaoni.

“Mtoto wa Mzee Sultan Leo Amezaliwa…. now let’s all drop our Wishes Abi! @idrissultan,” ameandika Diamond kwenye picha ya Idris aliyoiweka kwenye Instagram.

0 comments:

Post a Comment