Pages

Subscribe:

Wednesday, January 20, 2016

ROSE NDAUKA AJIKITA KWENYE USIMAMIZI WA MUZIKI

rose ndauka4
Mwigizaji Rose Ndauka amesema kuwa, baada ya kuguswa sana na kuoa vipaji kwa wasanii wengi chipukizi, ameamua kuwekeza katika kusimamia vipaji hivyo kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto zao za kufanikiwa kisanaa, akisimama kama Meneja.
Rose amesema kuwa, kwa sasa ana wasanii wanaofikia 10, akiweka wazi kwa mashabiki wake kuwa ataanza...
rasmi kwa kumtambulisha msanii wake wa kwanza anayesimama kwa jina la Casso ambaye atamtoa hivi karibuni.

0 comments:

Post a Comment