Pages

Subscribe:

Wednesday, January 6, 2016

HAYA NDIYO MAPENDEKEZO WALIYO TOA WASANII KWENYE KIKAO

Katika Kikao cha Wanamuziki kilichoendelea jana jijini Dar, wasanii wametoa mapendekezo makuu matatu : (1) kutokuwa na imani na CMEA (2) kuvunjwa kwa bodi ya COSOTA kutokana na kutokuwa utaratibu mzuri wa kudhibiti na kusimamia mirabaha ya kazi zao na (3) Radio stations ziendelee kupiga nyimbo zao hadi...
watapotoa tamko.

Hivyo wameomba rais wa shirikisho (Ado Novemba) kupeleka maombi kwa Waziri mwenye dhamana ‘Mh. Nape Nnauye’ Waziri wa habari, michezo, sanaa na wasanii. Cloudsfm.com

0 comments:

Post a Comment