Pages

Subscribe:

Wednesday, January 27, 2016

PICHA YA KIMAHABA YA JOKATE NA ALI KIBA YAZUA GUMZO

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto. Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao... bado haujajulikana ni wa nini. Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia kwenye Instagram.

0 comments:

Post a Comment