Pages

Subscribe:

Tuesday, January 12, 2016

MSANII WA NIGERIA ATAMANI KUFANYA COLLABLE NA HARMONIZE

Kaa karibu na ua unukie, Msanii kutoka WCB, Harmonize ameanza kuonekana kwenye soko la kimataifa, msanii wa Nigeria Kiss Daniel amesema anatamani kufanya nae kazi. Kiss Daniel alionesha lengo la kutaka kufanya kazi na Harmonize baada ya kuulizwa kwenye twitter kama anampango wa kufanya collabo na msanii yoyote wa Tanzania. Kiss alijibu...



 “Diamond of cuz .. Tho I love this new dude signed to his label”... “Yeah… Hez got crazy talent”
Kiss daniel alianza kujulikana zaidi baada ya kuachia Hit single yake ‘Woju’

0 comments:

Post a Comment