Pages

Subscribe:

Thursday, January 7, 2016

AT: SAID FELLA AMEWAPOTEZA BABY J NA BERRY BLACK

AT


Msanii wa muziki wa mduara AT, amezikandia jitihada za mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Said Fella za kuwachukua na kuwasimamia wasanii kutoka visiwani Zanzibar, Baby J na Berry Black kwa madai amechukua ili kuwapotezea muda.


AT ambaye ameonesha dhahiri kutofurahishwa na mfumo wa muziki hapa Tanzania ambao kwa upande wake anaona unabana wasanii wa muziki kutoka Zanzibar, amesema...
kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa ni kuwanyonya na si kuwasaidia.

“Mtu anawachukua wasanii wa Zanzibar kama kuwa nao kama njia ya kuwasaidia kuwaonyesha njia lakini kumbe anawanyonya,” alisema AT.
“Hawana nia na hawako tayari kusaidia muziki ambao chimbuko lake limetoka Zanzibar,”.

0 comments:

Post a Comment