Pages

Subscribe:

Friday, January 22, 2016

BARAKA DA PRINCE ATUA NAIROBI KUFANYA COLLABO NA SAUTI SOL

12424466_531579763683010_1534350619_n


Barakah Da Prince amedai kuwa hivi karibuni ataenda Kenya akiwa na producer wa AM Records, Bob Manecky kwaajili ya kwenda kufanya collabo na hitmakers wa ‘Uliza Kiatu’ Hartband pamoja na bendi maarufu zaidi Afrika Mashariki, Sauti Sol.


Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita, Barakah amesema lengo lake kubwa la kufanya hivyo ni...
kubadilisha muziki wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo ameachia video ya wimbo wake mpya, Siwezi iliyoongozwa na Kevin Bosco Jr. Msanii huyo pia alitajwa na MTV Base miongoni mwa wasanii 32 wa Afrika wa kuwaangalia mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment